文章

Duniaaaaa-歌词

Duniaaaaa

Dunia haina huruma

Dunia haina huruma

Dunia haina fadhila

Dunia haina utu u

Na maisha yangu

Dunia haina huruma mwenzenu nasema

Ni asubuhi na mapema

Simu ya mkononi inaita

Naitazama kwa makini

Ni namba ya mume wangu

Sauti ya mwanamke inasikika

Inayorarua moyo wangu

Moyo wangu unafura hasira

Kwa taarifa ninazopata

'Hallo nenda mwimbini kachukue mzoga wako'

Namwuliza ni nani mwenzangu

Ananijubu kwa kejeli

'Mimi ni mke mwenzio kama hutaki potezea'

Nawatafuta ndugu na jamaa

Waliokuwa kwenye simu yangu

Ili niwaambie taarifa hizi

Zinazorarua moyo wangu

Dunia haina huruma eeh

Ninafika hospitali

Ninawakuta watu wa mochwari

Maneno wanayoniambia

Yanaumiza moyo wangu

'Aah yule mgonjwa aliyeletwa jana aliyepigwa kwenye fumanizi

Tulipomwangalia tukangundua hajafa kwa hivyo yuko katika chumba cha watu maututi'

Ninafika kwenye chumba cha wagonjwa maututi

Ninamkuta mpenzi wa roho yangu

Amepoteza fahamu hawezi hata nikunitazama

Hili ndilo patano letu mume wangu

Na hapa ndipo jijini mbea mume wangu

Hili ndilo patano letu mume wangu

The world

There is no mercy in the world

There is no mercy in the world

The world has no aid

The world is insensitive

With my life

There's no mercy in the world I tell you

Tis early in the morning

The mobile phone rings

On careful look

It's my husband number

A woman voice speaking

Proudly tearing my heart

My heart bulges with anger

For the news I have received

'Hello go pick your carcass'

I ask who are you

She responds with pride

I am your co wife if you don't want to hear this go away

I look for family and relatives

Over through the phone contacts

To break these news to them

Which have broken my heart

The world has no mercy eeh

Arriving at the hospital

I find the mortuary attendants

The words they say to me

So hurts my heart

'Aah the patient brought in yeaterday after a caught up in adultery

We realized that he isn't dead

So he is in the icu

I rush to reach the icu ward

I find him the love of my life

He is unconscious even unable to look at me

Is this our covenant my husband

And is this our home town mbea

Is this our covenant my husband

Na hapa ndipo jijini mbea mpenzi wangu

Haya mapanga ndio zawadi yangu mume wangu

Hili ndilo patano letu mume wangu

Na hapa ndipo jijini mbeya mpenzi wangu

Nimegundua dunia haina huruma eh

Dunia haina huruma

Dunia haina huruma

Dunia haina fadhila

Wanadamu nisaidie

Nani mwenye huruma anifariji

Maana moyo wangu unavunja damu

Maana moyo wangu unavunja damu

Kwa matatizo niliyopata

Dunia haina huruma

Dunia haina uchungu

Mimi na maisha yangu

Ninawapigia ndugu wa mume wangu

Yaliyomsibu mume wangu

Wote wananisusia

Nachukua vitabu vya benki

Atm hasisome sote

Ninamwomba daktari

Daktari naomba nisaidie

Mume wangu akipona

Gharama sote tutalipata

Na kama la hajapona

Utachukua gari langu

Kwa kweli mama ningeweza kukusaidia

Lakini hizo gari haina ya 4b

Kwa kawaida zinakula sana mafuta'

Nawatafuta marifiki wa mume wangu

Na kwanza ninapofika hapo

Wanaanza kunipa masharti

Yanayorarua moyo wangu

Nikimtazama mume wangu ndio kwanza anakoroma

Nikimtazama daktari hawezi hata kunitazama

Dunia haina huruma eeeh

Dunia haina huruma ooh

Mashemeji wamegoma kutoa misaada

And is this our home town mbea my love

This machete wounds are my gift oh my husband

Is this our covenant my husband

And is this our home city mbea my love

I realize there is no mercy in the world

There is no mercy in the world

There is no mercy in the world

There world has no aid

Oh peoples help me

Who is compansionate to console me

For my heart is bleeding

For my heart is bleeding

Under the tragedy on me

There is no mercy in the world

The world feels no pain

Over my life

I call my husband's brothers

To give aid of this trouble upon him

But they all decline

Taking my bank statements

Atm card reflects no balance

I beg the doctor

For him to help me

For when my husband's recovers

All expenses we shall pay

And incase if he doesn't recover

You will redeem my car

'Surely I could help you

But those type of cars normally consume lots of fuel'

I call the friends to my husband

On their arrival

At icu

Immediately they set their terms for help

This just tears down my heart

Looking at my husband he begins to moan consciously

Looking at the doctor but he turns away

The world has no mercy eeh

The world has no mercy ooh

In laws have declined their help

Maneno wanayoniambia

Sahamani shemeji ningeweza kukusaidia

Lakini naenda kuangalia mpira ulaya

Nawatafuta mawifi kwa mara nyingine

Kwa kweli wifi si unajua

Tungeweza kukusaidia lakini wale wenzangu wote wacheza shengele watakuja siku ya jumamosi kwa hivyo nimewaambi na siwezi kughairi kwa sababu wameshona sare

Niliamua kumwangukia daktari

Hicho ndicho chanzo cha tatizo langu

Ndio siku niliyopata huyu mtoto

Msiba wangu ukaongezeka

Dunia haina huruma

Dunia haina uchungu

Mimi na maisha yangu

Leo nataka kutengeneza na mungu

Nimechoka kudanganya moyo wangu

Nataka kutengeneza na mungu

Lazima kutengeneza na mungu

Nikimwambia mume anaweza kuniua

Ila moyo wangu unanishuhudia ni lazima nimwambie

Maana nataka kuteneneza na mungu

Mimi lazima nitengeneneza na mungu

Nimeamua kuteneneza na mungu

Nataka nitengeneneza na mungu

Mume wangu ile siku ulipocharazwa mapanga

Yule daktari aliyekuwaanakuuguza ndiye mwenye huyu mtoto

Mume wangu alinitazama tu

Akaondoka mbele yangu

Asubuhi na mapema nikaitwa kijijini

Wakinisisitiza kwa hasira

'Kuja na motto wako akiwa hai'

Nilipofika kijijini nikawakuta mawifi zangu

Kila niliyemsalaimia hakuweza kunijibia

Mashemeji walionipenda nao pia nilifanya hivyo hivyo

They give their excuse as

'We're sorry we could have assisted

But have to watch live football in europe

I look up to my sisters in law

Honestly my in law you clearly know

We could help you but

All my team players

They are coming this Saturday so

I cannot changed the day have fixed

For they have their uniform ready

I resolved to give in to the doctor

And that was the genesis of trouble

It was the day I conceived this child

My misery multiplied

The world has no mercy

The world feels no pain

It's me and my life

Today I resolve to reconcile with god

Am tired of deceiving my heart

I want to reconcile with god

I must make up with god

If I confess to my husband he may kill me

But my heart is convinced I have to confess to him

For I want to reconcile with god

I have to be reconciled to god

I am determined to be with god

I want to be reconciled to god

'My husband the day you bore machete wounds

The doctor who attended to you is the father of this child'

My husband just stared at me

And walked away from me

Next day early morning I was summoned to the village with a stern command

'Come with your child alive '

Arriving at the village there my sisters in law

For every greeting no one responded

Even the in laws in the same manner didn't respond to my greetings

Kila aliyenitazama alinitazama kwa dharau

Huruma yangu iko wapi dunia

Huruma yangu iko wapi dunia

Kikao cha familia kilipokaa

Niliowaomba msaada ndio walionihukumu

Dunia haina huruma

'Kama unataka kukaa na mtoto wetu

Mtoto wako lazima auwawe maana sisi hatumtambui mtoto haramu katika familia yetu

Nikamtazama mtoto wangu aliyesismamishwa mbele yangu

Nikangeuka pembeni yangu nikamwona mume mume wangu ananitazama kwa hasira hasiweze kunihurumia

Huruma yangu iko wapi dunia

Faraja yangu iko wapi dunia

Kimbilio langu nikimbilie wapi dunia

Dunia haina huruma

Dunia haina fadhila

Ulimwengu nisaidie

Ulimwengu nihurumie

Nilipoendelea kuomba msamahaaa

Wifi mkubwa alinyanyuka

'Unatuletea usanii hapa

Fanyia kaka yetu huko huko

Sisi ni watoto wa mjini bwana hatutishwi machozi

Sasa huo upumbavu wako usituletee mbele ya kikao '

Mtoto wangu aliwekwa katikati yao

Ili achapwe mapanga mbele yangu

Baba mmoja mwenye busara

Akasema ni nani kati yetu

Mabaye hajwahi kutenda kosa awe wakwanza kupiga mapanga

Wote wakatazama

Hakuna aliyeniangalia

Looking at me everyone showed mockery

I wonder where is my compassion

I wonder where is my compassion

When the family meeting began

To whom I begged for help the same people now condemned me

There is no mercy in the world

'If you want to stay married to our son

Your child must be killed

For we don't accept an illegitimate child in our family'

I looked at my child

Who had been put before me

Then I turned to look at my husband at the corner looking at me in anger without any compassion in heart

Where is my compassion oh peoples

Where is my consolation oh peoples

Where is my refuge oh peoples

There is no mercy in the world

The world has no aid

Oh peoples help me

Oh peoples have mercy on me

As I pressed on pleas for forgiveness

My eldest sister in law showed up

'Now you bring comedy show to us

Do this to our brother away from us

We are the strong of the city we have no weakness of shedding a tear

Now such foolishness is not for this family meeting

My child was put in their midst

Before me to be slashed with machetes

One wise elder arose

Saying 'whose of you does no sin or mistake

Be the first to strike'

All in the meeting looked at each other

None dared to look at me

Mume wangu akasimama na kuanza kulia kwa uchungu

Kuanzia leo hii unisamehe mke wangu

Kuanzia leo hii ni nakupenda mke wangu

Ya dunia yamenichosha

Ya ulimewngu yamenichosha

Kuanzia leo hii ninatubu mke wangu

Kuanzia leo hii unisamehe mke wangu

Nataka kutengeneza na mungu

Nataka kutengeneza na mungu

Kumbe mungu anaweza kusamehe

Kumbe mungu anaweza kukuita tena

Kumbe mungu anawezakujibu maomba

Ndilo nililojifunza leo

Yesu wangu ana jibu

Tena yeye anasikia

Pia tuombe bila kukoma

Nataka kutengeneza na mungu

Lazima kutengeneza na mungu

Nataka kutengeneza na mungu

Lazima kutengeneza na mungu

Mwisho

My husband arose accompanied by bitter weeping

'From today forgive me my wife

From this day I love you my wife

I am tired of worldly affairs

I am tired of worldly affairs

From this day I repent my wife

From today forgive me my wife

I want to reconcile with god

I want to reconcile with god'

Alas god can forgive

Alas god can give second chance

Alas god can answer prayers

These I have learned today

My jesus has the answer

And again jesus hears

Let's then pray without ceasing

I want to reconcile with god

I have to be reconciled to god

I want to reconcile with god

I have to be reconciled to god

版权所有©四级英语单词   网站地图 陇ICP备2023000160号-4