Ninantamani - Angela Chibalonza Muliri
Ninatamani nifanye mapenzi yake
Ili nifike mbinguni kwa baba yangu
Ninatamani niishi karibu naye
Ili ninywe maji
Maji ya uzima wa milele
Yesu akasema mimi ndimi njia ya uzima
Hakuna awezaye kufika kwa baba yangu
Ila
Ila kwangu mimi
Mimi ndimi njia ya uzima
Yesu akasema
Yesu akasema mimi ndimi njia ya uzima
Hakuna awezaye kufika kwa baba yangu
Ila
Ila kwangu mimi
Mimi ndimi njia ya uzima
Baba natamani nikuone
Mbinguni
Baba natamani nikuone
Messiah natamani nikuone
Maishani mwangu natamani nikuone
Baba natamani nikuone
Mbinguni
Ninatamani niombe mbila kukoma
Ili nifike mbinguni kwa baba yangu
Ninatamani niyashinde majaribu
Nifikwe taji
Tajii ya uzima wa milele
Yesu akasema mimi ni mkate wa uzima
Atakaye nila
Atakaye nila hataona kamwe njaa
Mbali
Mbali atakaa karibu nami milele
Yesu akasema
Yesu akasema mimi ni mkate wa uzima
Atakaye nila
Atakaye nila hataona kamwe njaa
Mbali
Mbali atakaa karibu nami milele
Baba natamani nikuone
Mbinguni
Messiah natamani nikuone
Maishani mwangu ninatamani nikuone
Oh yesu ninatamani nikuone
Mbinguni
Messiah wangu ninatamani nikuone
Mbinguni
Baba natamani nikuone
Kasini mwangu ninatamani nikuone
Mbinguni
Baba natamani nikuone
Mbinguni
Oh
Oh baba natamani nikuone
Mbinguni
Messiah wangu natamani nokuone
Mbinguni
Nchi ya kenya tunatamani tukuone