文章

Nipe Amani - Jemmimah Thiong'o-歌词

Nipe Amani - Jemmimah Thiong'o

Ee Baba yangu naja mbele zako naomba amani

Maana nimeitafuta amani lakini sipati

Nizungukapo na majaribu mbalimbali ninakuamini

Ya kwamba nikulilia wewe tanipa amani

Mali na nyumba na magari makubwa hayana amani

Yananipa kusononeka kwa moyo naomba amani

Nanyenyekea mbele zako Mungu wangu naomba amani

Na sina shaka wewe utanipa nina shauku

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Wakati mume amekuwa kigeugegu mama usilie

Maana Yesu hatakugeuka yeye akupenda

Licha na uchungu uliyo nayo moyoni mtizame Baba

Mwambie yote utakayo atimize yeye akujali

Ulezi wa wana hata elimu yeye atakupa

Omba nguvu upige magoti baba mwambie akupe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Ee mama mjane naelewa unavyo hisi moyo unauma

Baada ya mumeo kufa mama huna pa kwenda

Wakweza wamekufukuza mbali wewe huna nyumba

Marupurupu ya mumeo kazini wataka nyakua

Usilie mama Mungu anaona naye akujali

We piga magoti inua mikono Omba Baba amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

Baba utizame moyo wangu nipe amani

版权所有©四级英语单词   网站地图 陇ICP备2023000160号-4