Shakinah Glory - Esther Wahome
Utukufu wa mungu umeshuka
Na Jeshi la binguni liko hapa
Ona malaika wako Hapa
Shakinah glory
Imeshuka
Utukufu wa mungu umeshuka
Ogg Na Jeshi la binguni liko hapa
Ona malaika wako Hapa
Shakinah glory
Imeshuka
Wachilia utukufu wako achilia utukufu wako
Wachilia utukufu wako oo Shakinah
Shakinah
Wachilia utukufu wako Wachilia na nguvu zako
Wachilia utukufu wako oo Shakinah
Shakinah
Ufalme wake Mungu umekuja eeh
Na nguvu za miujiza tunahisi
Ooo nikama moto unaochoma
Shakinah glory Imeshukaa
Utukufu wa mungu umekuja ooo
Na nguvu za miujiza tunahisi eee
Oooh nikama moto
Unaochoma
Shakinah glory Imeshukaa
Wachilia utukufu wako uuu achilia utukufu baba
Wachilia utukufu wako oo Haleluyah
Shakinah
Wachilia utukufu wako Shakinah Shakinah
Wachilia utukufu wako oo Shakinah
Waliofungwa wanawekwa huru eee
Nguvu za giza nazo zatoeka
Oohh uwepo wako waajabu
Shakinah glory Imeshukaa
Waliofungwa wanawekwa huru eee
Nguvu za giza nazo zatoeka
Uwepo wako waajabu
Shakinah glory Imeshukaa
Wachilia utukufu wako
Uuu achilia utukufu baba
Wachilia utukufu wako
Oo wachilia nguvu
Shakinah
Wachilia utukufu wako
Wachilia uponyaji
Wachilia utukufu wako wachilia uwepo
Shakinah
Wachilia utukufu wako ooo baba
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako wachilia
Shakinah
Wachilia utukufu wako ewe mueza
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako
Shakinah
Umeketi kwenye kiti cha enzi
Achilia utukufu kutoka
Shakinah
Kitini chako cha enzi baba
Shakinah glory
Wachilia utukufu wako
Shakinah
Wachilia utukufu wakooo baba