文章

Usifurahi Juu Yangu - Upendo Nkone-歌词

Usifurahi Juu Yangu - Upendo Nkone

Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu

Niangukapo mimi nitasimama tena

Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu

Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie

Eh

Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu

Niangukapo mimi nitasimama tena

Kumbuka niwapo gizani bwana ni nuru yangu

Hawezi kuniacha bwana mimi niangamie

Eh

Si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo

Shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako

Kumbuka kwa maobi yako nitasimama tena

Na utapata baraka kutoka kwake mungu

Si vyema kunisema sema vibaya nipatapo tatizo

Mapaa

Shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako

Kumbuka kwa maobi yako nitasimama tena

Na utapata baraka kutoka kwake mungu

Maana heri mtu yule ambaye kinywa chake

Ni kuwabariki wenzake na kiwaombea

Maana maneno mabaya huchafua moyo

Ukiwekwa mbali na mungu ni vyema uwe safi

Ukiona niko kwenye shida niombee

Ndoa yangu imevunjika wewe niombee

Nikifukuzwa kazini ndugu niombee

Magonjwa yananiandamaa niombee

Biashara haina faida niombee

Nikikawia kupata mtoto niombee

Nimekuwa mtoto yatima niombee

Ata nijapo kuwa mjane niombee

Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena

Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa

Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena

Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa

Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena

Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa

Ujue kwa maobi yako mimi nitasimama tena

Ujue kwa maobi yako nitabarikiwa

版权所有©四级英语单词   网站地图 陇ICP备2023000160号-4