Usiku Mtakatifu - Kwaya Ya Uinjilisti Ya Vijana Arusha Mjini
Usiku mtakatifu
Wengine walala
Wakeshao ni Yosefu tu
Na Maria waliomlind
Yesu mwana mzuri
Wula nela ha
Usiku mtakatifu
Wachunga wapewa
Habari nzuri na malaika
Zienezwe potepote sasa
Yesu mponya kaja
Yesu mponya kaja
Usiku mtakatifu
Siku ya furaha
Imetuangaza KiMungu
Tumepewa ukombozi
Kristo amefika
Kristo amefika