Wewe Pekee - Alice Kamande
Yeah yeah yeeee
Ooooo
Oooo
Hmmm
Kufungua kinywa changu
Nikusifu baba
Makuu umenitendea
Nimefika sasa apa
Wewe kweli ni rafiki
Unaniongoza ninapopotea
Upendo wako ni ufananishe na nani babaa
Tabu nyingi kweli nlipitia
Hadi nikajipata nikikushukuru
Sikujua mpango wako kwangu
Babaa
Ulijua yote nikiyapitia mkono
Wako ulikuwa umenishikilia nisianguke ewee wewee kimbilio langu
Hakuna mwingine
Ni wewe pekee yako
Mbele ata nyuma ni wewe pekee
Hakuna mwingine
Ni wewe pekee yako
Mbele ata nyuma
Ni wewe pekee
Tafuta tafuta utampata kama
Yeye alinitoa toka tope la dhambi
Kamwe sitaona aya ya kumsifu mungu wangu
Sikujote nitambu bia
Baba
Taabu nyingi kweli nilipitia
Hadi nikajipata nikikushuku
Sikujua mpango wako kwangu
Baba
Ulijua yote nikiyapitia
Mkono wako ulikuwa umenishikilia nisianguke
Wewe kimbilio langu
Hakuna mwingine huna
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Hakuna mwingine hakuna
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Akoo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Oooo
Yah
Hakuna mwingine
Hakuna mwingine
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Hakuna mwingine
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Neselambo
Hakuna mwingine
Mbele hata
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Hakuna mwingine
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Hakuna mwingine hakuna
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Hakuna mwingine
Ni wewe pekee yako
Mbele hata nyuma
Ni wewe pekee
Ooooo
Ooooo
Ooooo
Ooooo
Ooooo
Ooooo
Ooooo
Ooooo
Ooooo
Ooooo